iqna

IQNA

paul pogba
Wanamichezo Waislamu
PARIS (IQNA)- Katika mahojiano kwenye televisheni, Paul Pogba, mchezaji wa soka wa Ufaransa na klabu ya Juventus ya Italia, alijadili sababu zilizomfanya kusilimu na jinsi hatua hiyo ya kuukumbatia Uislamu ilivyoathiri maisha yake.
Habari ID: 3477608    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/16

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Mcheza soka mashuhuri wa Ufaransa Paul Pogba ameonyesha mshikamano na Wapalestina katika Ukanda wa Gaza baada ya mashambulio ya hivi karibuni ya anga ya jeshi la utawala katili wa Israel kwenye eneo hilo na kuua shahidi Wapalestina zaidi ya 45 wakiwemo watoto 19.
Habari ID: 3475621    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/14

TEHRAN (IQNA)- Paul Pogba, mchezaji mahiri wa timu ya Manchester United katika Ligi Kuu ya Premier nchini Uingereza anasema atakuwa amefunga saumu ya Ramadhani wakati wa mechi baina ya timu yake na Leeds United Jumapili 25 Aprili mchana.
Habari ID: 3473846    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/24

TEHRAN (IQNA) – Paul Pogba, nyota wa timu ya Manchester United Ligu Kuu ya England nchini Uingereza anasema imani imani yake ya Kiislamu imemfanya awe mwanadamu bora.
Habari ID: 3471997    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/12

TEHRAN (IQNA)- Paul Pogba, mchezaki soka wa timu ya Manchester United ya Uingereza ni Mwislamu anayefungamana na mafundisho ya dini amesema Uislamu hauna uhusiano na ugaidi.
Habari ID: 3471046    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/02